Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya headlines za tambo za bondia Conor McGregory kuelekea pambano lake na bondia asiyewahi kupoteza pambano Floyd Maywether kuzidi, asubuhi ya August 27 T Mobile Arena mjini Nevada USA majibu yalipatikana.
Mayweather alikuwa anaingia kucheza pambano lake la 50 dhidi ya McGregory ambaye yeye lilikuwa ni pambano lake la 25 akiwa ndio kapoteza kwa mara ya pili na kashinda mara ya 23, ushindi wa leo wa Mayweather unakuja baada ya kumpiga bondi wa Philipino Manny Pacquiao May 3 2015 kwa point mjini Las Vegas.
Bondia Floyd Mayweather leo ameshinda pambano lake la 50 akiwa kacheza mapambano 50 bila kupoteza, amefanikiwa kuendelea kutetea rekodi yake kwa kumpiga Conor McGregory kwa Technical Knock Out (TKO) katika round ya 10 pambano la round 12.

Post a Comment

 
Top