Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa filamu za Kibongo, Faiza Ally.
MSANII wa filamu za Kibongo, Faiza Ally amefurahia kujifungua mtoto wa kiume na kusherehekea hatuq hiyo kwa kutupia picha mbalimbali za nusu utupu alipokuwa na ujauzito.
Akiwa amelala
Akizungumza na Risasi Jumamosi, Faiza ambaye alijifungua Jumatano usiku katika Hospitali ya Agakhan alisema anaupenda mwili wake kwa sababu ni mzuri, akikaa mtupu anajipenda zaidi ndiyo maana akaamua kutupia mtandaoni picha hizo za ujauzito akiwa nusu utupu huku akiwa amejichora.
…Akiwa amekaa kwenye pozi.
“Kikubwa nilijipiga picha hizi kwa kujifurahisha lakini pia kwa jinsi ninavyopenda kukaa mtupu akitokea mtu akanambia nipige picha za utupu anilipe milioni mia moja niko tayari kabisa kwa hilo maana siyo ajabu kwani utupu ndiyo umetuleta duniani,” alisema Faiza.

Post a Comment

 
Top