Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Leo August 21, 2017 Mwenyekiti wa IPP Dr. Reginald Mengi‏ kupitia Twitter yake kayaandika maneno 12 ikiwa ni ujumbe kwa watu ambao huwa na tabia ya kusema wako pamoja na wengine lakini sivyo wanavyomaanisha.
Dr. Mengi ameandika“Waogope watu wanaokuambia eti wako nyuma yako. Mara nyingi ukigeuka nyuma hawapo @MagufuliJP” – Reginald Mengi‏.

Post a Comment

 
Top