Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
NIMESHINDWA KUPITA KIMYA.
-Nimeona kuna watu wanawasimanga hawa vijana wanaotafuta ajira kwa kudai wafikirie zaidi kujiajiri.Bahati mbaya wengi wa watu hao nao wameajiriwa.Naomba niwaambie ndugu zangu kujiajiri siyo jambo jepesi kama inavyozungumzwa ovyo kwenye mitandao.Kila mtu anatamani ajiajiri lakini mwanzo ni mgumu sana ukizingatia mifumo ya Maisha na Elimu zetu hazimuandai kijana ili aje ajiajiri.Kuajiriwa katika hatua za mwanzo kunaweza kumpa mwanga na kumkutanisha na watu ambao wanaweza kumuinua kifikra na akaja kujiajiri na kufanya vizuri sana baadae.
Hawa vijana wanahitaji wapewe nafasi waoneshe uwezo wao.Kuna watu wengi kwenye ajira ambao ni MIZIGO tu wameshindwa kuleta mabadiliko chanya kutokana na nafasi walizopewa.Siwezi kuilaumu serikali kwa kushindwa kuajiri vijana wote.
Lakini siwezi kuwalaumu au kuwasimanga vijana wanaotafuta ajira kama mahali pa kuanzia..
Nawasihi wote waliowatolea maneno ya kejeli hawa vijana wajitafakari upya.
Don’t tell us to think “Outside the box” while you are “In the box” Come out and see what we are facing”..
Nitatoa historia fupi ilikuwaje mpaka nikawa MJASIRIAMALI.
Itaendelea…..Hiki ndicho alicho post Dr.Kigwangara

F

Post a Comment

 
Top