Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Instagram ilichafuka juzi kati baada ya Mwimbaji Ommy Dimpoz kupost picha akiwa na Mama mzazi wa Diamond Platnumz ikiwa ni moja ya njia alizotumia kujibu mashambulizi ya diss ya wimbo wa Diamond Platnumz.Kwenye hii video kuna mahojiano na Dada wa Diamond Platnumz Esma Platnumz na Mume wake Petitman ambapo moja ya maswali aliyoulizwa Esma ni kuhusu hali ya Mama Diamond baada ya Dimpoz kupost ile picha.
Esma alicomment kwenye hiyo picha ya Ommy Dimpoz na kumtaka mwimbaji huyo kutomuhusisha mama yake na ‘maugomvi yao’ ambapo baada ya kuhojiwa leo na AyoTV, Esma amesema Mama yake alikua kimya tu na hakuongea chochote kuhusu ile picha… unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini

Post a Comment

 
Top