Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba alikuwa mmoja miongoni mwa mastaa wa Afrika ambao walikuwa na kazi moja tu Usiku wa August 19, 2017, kutoa burudani kwenye Tamasha la One Afrika Music lililofanyika New York,
Marekani.Mbali na Alikiba tamasha hilo lilikuwa na mastaa wengine kama Cssper Nyovest, Davido, Mr Flavour, Tekno, Tiwa Savage, Davido na wengine wengi.

Post a Comment

 
Top