Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Taarifa iliyonifikia usiku huu kutoka Tarime mkoani Mara ni kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulayaamewahishwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kuugua akiwa rumande ambako alikuwa ameshikiliwa na Polisi baada ya kumkamata akiwa Hotelini, Tarime.
Katibu wa Mbunge Tarime Vijijini, John Heche, Mrimi Zabron amesema Bulaya anasumbuliwa na kifua ambacho kimesababisha ashindwe kuzungumza lakini hata hivyo Madaktari wanaendelea na matibabu.

Post a Comment

 
Top