Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Iinasemekana asubuhi hii ya sasa hivi kuna ajali mbaya sana imetokea ya treni katika eneo la TANESCO pale Morogoro mjini iliyoligonga Coaster iliyobeba wanafunzi wengi wa Shule ya sekondari ya Kayenzi na raia wachache kadhaa. Inasemekana wanafunzi wengi wamefariki,miili imetapakaa eneo la tukio, pia majeruhi kadhaa wamepatikana Watoto kadhaa(Wanafunzi) wafariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kwenda shule kugonga Treni.

- Taarifa zinaripoti kuwa basi hilo aina ya Coaster lilikuwa likitokea Kihonda.

Post a Comment

 
Top