Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rais Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na tajiri Namba 1 Duniani Bill Gates ambaye kupitia Taasisi yake ya Bill and Melinda Gates ametengea zaidi ya Dola Milioni 350 kuisaidia Tanzania.Tunamshukuru sana, ameamua mwenyewe kutuletea hizi fedha na anasema tunaenda vizuri. Kwa hiyo ameona hana mahala pa kuzipeleka hizi hela anazileta Tanzania kwa sababu tunajua kuzitumia.Hataki hela yake anaihangaikia kule halafu inakuja hapa inatumika ovyo. Tumemueleza hatua zetu na amekuwa akizisikia, anaziona hatua tunazochukua za kupambana na Ufisadi.” – Rais Magufuli.

Post a Comment

 
Top