Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Gumzo lake lilianzia baada ya kuweka post yake kwenye Twitter ikiwa na maneno yaliyoashiria kuwa majibu baada ya mistari iliyoimbwa na Diamond kwenye Fresh remix ya Fid Q kuonesha kama vijembe kwake.
Sasa leo Alikiba ndio ameachia video ambayo ni hii inaitwa ‘Seduce Me’ unaweza kuitazama hapa chini na kisha ukaacha maoni yako baada ya kuitazama

Post a Comment

 
Top