Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Video model na Ex wa rapa Wiz Khalifa Amber Rose amekiri kuwa yuko tayari kuwa mke wa rapa 21 Savage ambaye wamekuwa pamoja kwa muda wa miezi miwili sasa.
Amber amesema haya kwenye show ya mpenzi wake 21 Savage iliyofanyika weekend hii, kwenye video hio Amber anasema Imma marry him Amber Rose ana mtoto mmoja na amewahi kuwa na mahusiano na mastaa wakubwa kama Kanye West na Wiz Khalifa.

Post a Comment

 
Top