Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Story kuhusu wimbo wa Fid Q aliomshirikisha Diamond Platnumz na RayVanny imeendelea ku-make headlines baada ya Diamond katika wimbo huo Fresh remix kudaiwa kumchana mwimbaji Alikiba kutokana na mistari aliyochana kwenye verse yake ambapo anasikika akisema:…si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalaleSasa kupitia Twitter yake Alikiba kaandika”The KING ll always Be a KING. je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu ??  #KingKiba” – Alikiba

Post a Comment

 
Top