Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Leo August 10, 2017 Rais Magufuli amekutana na Balozi mdogo wa Marekani Inmi Patterson Ikulu Dar es Saalam na kuahidi Tanzania itaendelea kushirikiana na Marekani.Nawashukuru sana Serikali ya Marekani kwa sababu ni marafiki zetu na wanaipenda Tanzania, tuna ushirikiano nao mzuri na nimemueleza kwamba Tanzania na Serikali ninayoiongoza itaendelea kushirikiana na Marekani.” – Rais Magufuli.

Post a Comment

 
Top