Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

James Rugemalira (mwenye mvi) na mwenzake Harbinder Singh Sethi wakifikishwa mahakani.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kesi inayowakabili mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Singh Sethi maarufu kama ‘Singasinga’ na mfanyabiashara James Rugemalirawanaokabiliwa na mashtaka 12, yakiwemo ya kutakatisha fedha na kuisababisha serikali hasara.

Rugemalira na Harbinder Singh Sethi baada ya kutoka kortini.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 3 mwaka huu, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya wakili wa serikali, kueleza kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.

Post a Comment

 
Top